joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona uwanjani yupo au sijaelewa dhumuni lako?No Chama; no goal! No assist! Wapi pira Dubai!!
Vibaya mno ni kama huwa hawajifunzi basics za mifumo ya kisasaTimu za tanzania zinacheza uchi sana
Most of his career so far amechezea Mtibwa.Amenishangaza, mara yangu ya kwanza kumuona.
Kuwa mpoleNo Chama; no goal! No assist! Wapi pira Dubai!!
Kocha bora, sina hofu nae!Huyu kocha lamda tumpe muda, kaingia na mguu wa kushoto
Wapo busy na kazimbona uzi WA Simba hua unaanzishwa Tu na unajaa kabla ya mechi??? lkn Uto tukicheza uzi unaanzishwa baada ya goli au mechi kuanza?? Tunakosea wapi uto?!
Tunashinda, hakuna namna.Mechi kama ikiisha hivi hivi lawama atapewa Kiyombo na Quatarra.
Sasa si ndiyo maana unaona hayo ma assist, na pia magoli!!Mbona uwanjani yupo au sijaelewa dhumuni lako?
Sio kocha?Mechi kama ikiisha hivi hivi lawama atapewa Kiyombo na Quatarra.
Simba mpo tayari kumpa muda kocha wenu?Naona kocha ana introduce watu wake.
Nafikiri level ya fitness nayo inachangiaVibaya mno ni kama huwa hawajifunzi basics za mifumo ya kisasa
Seat ya kwanza dirishani...
All the best Green City
Mbeya City huwa hamtuangushi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Piga hayo Madunduka FC
Kocha nae watamuunga humo humo.Sio kocha?