Refa kafanyaje?Baada ya red card, hii mechi ilishanunuliwa mapema tu refa alishachukua chake
Ai lavu yu tuu Kalpana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]I lavuuu yuuuuuu Simbaaaaa
Sio lazima acheze YangaSaido yupo vzr, sijui kwa nn yanga walimuacha.
me too ChuraI lavuuu yuuuuuu Simbaaaaa
Hoja ya hovyo Sana ni kama vile unahadithiwa kuhusu hili mechi.Yaani mwamuzi akitoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu pinzani ndiyo mnapata ahueni!
Kabisa, ile million 30 ndio imetumika hapa.Baada ya red card, hii mechi ilishanunuliwa mapema tu refa alishachukua chake
Kwa hizi dalili naona kule kupoteza pointi kizembe sasa kutapungua sana...Sana chama anacheza kwa kurelax watu hawaelewi sasa wamkabe chama au saidoo hapo hapo wanamsahau sakho[emoji1][emoji1]
Mkuu nafikiri ungeangalia mpira tangu mwanzo usingeweka comment kama hii.Yaani mwamuzi akitoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu pinzani ndiyo mnapata ahueni!