OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Red card halali am vp kwaniBila red card au kupewa penati ushindi wenu ni kama gari la mkaa
Huo muda wa kuangalia naupata wapi? Nimesoma tu hapa jukwaani, na kugundua kumbe mwamuzi ametoa kadi nyekundu kwa sababu fundi wa kucheza hizo faulo hatarishi, na yeye amechezewa.Hoja ya hovyo Sana ni kama vile unahadithiwa kuhusu hili mechi.
Jamaa atafunga magoli mengi sana, huu usajili mmoja tu naona utopolo wameanza kutoka mapangoni wenyewee...!!Saidooooooooooooo hat trick
Huyu jamaa anairudisha simba kwenye formSaido moja kwa moja peponi ukaoe bikra 14
Saidoo hajatokaWaliofunga hattrick wote wamefanyiwa mabadiliko
Genta aliwaambia Manzoki haji mbona hauelewiHapo bado Manzoki hajatua
Mamake tutatafutana msimu huu
Wanalalamika redcard, huu usajili ni very technical.Jamaa atafunga magoli mengi sana, huu usajili mmoja tu naona utopolo wameanza kutoka mapangoni wenyewee...!!
Na yule Phiri kule nje..!!Hapo bado Manzoki hajatua
Mamake tutatafutana msimu huu
π π π πAi lavu yu tuu Kalpana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hizo bangi sasaMbona ghafla ilikua 1-1 sio muda.