FT: Ligi Kuu Bara | Tanzania Prisons 1-0 Azam FC | Uwanja wa Sokoine 30/09/2022

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 30, 2022 ambapo Tanzania Prisons walikuwa wakipepeta na Azam FC kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.

Matokeo ni kwamba, Tanzania Prisons wameweza kuwachabanga Azam FC kwa kichapo cha bao moja kwa bila majibu, bao likifungwa na Jeremiah Juma kunako dakika ya 46 ya kipindi cha pili cha mchezo.

Yapi maoni yako baada ya Azam FC kula mweleka wa kwanza kwenye Ligi Kuu?
20220930_180113.jpg
 
Azam ni ileile tu, wachezaji hawana pressure yoyote,Simba na Yanga sometimes wanafanikiwa kutoka na matusi ya majukwaani na mitandaoni,sasa Azam wachezaji hata hawajitumi.......... imagine dk 90 no shot on target
 
Hii timu mzee bakhresa bora hizo pesa angejenga vyoo vya stendi.
Aliyegundua ice cream za ukwaju ana akili kuliko anayeongoza timu ya azam
 
Azam ni ileile tu, wachezaji hawana pressure yoyote,Simba na Yanga sometimes wanafanikiwa kutoka na matusi ya majukwaani na mitandaoni,sasa Azam wachezaji hata hawajitumi.......... imagine dk 90 no shot on target
Kipre juniour alikuwepo?
 
Kitu pekee anachofeli azam kila msimu nasikia boss wao haamnini kwenye upande wa pili kama kuvunja nazi na kuruka mageti kama yanga ndio maana kila msimu wanafeli wao.
 
Ali kamwe jana kasema Azam ni timu ndogo inayojipapatua kua timu kubwa.
 
Kitu pekee anachofeli azam kila msimu nasikia boss wao haamnini kwenye upande wa pili kama kuvunja nazi na kuruka mageti kama yanga ndio maana kila msimu wanafeli wao.
Ule msimu wao wafanikio ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara walitumia mbinu ipi?
 
Azam ni ileile tu, wachezaji hawana pressure yoyote,Simba na Yanga sometimes wanafanikiwa kutoka na matusi ya majukwaani na mitandaoni,sasa Azam wachezaji hata hawajitumi.......... imagine dk 90 no shot on target
Hii point .Kila kitu wanapata ila yanatembea tu uwanjani.
 
Back
Top Bottom