Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kupigwa leo September 30, 2022 ambapo Tanzania Prisons walikuwa wakipepeta na Azam FC kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.
Matokeo ni kwamba, Tanzania Prisons wameweza kuwachabanga Azam FC kwa kichapo cha bao moja kwa bila majibu, bao likifungwa na Jeremiah Juma kunako dakika ya 46 ya kipindi cha pili cha mchezo.
Yapi maoni yako baada ya Azam FC kula mweleka wa kwanza kwenye Ligi Kuu?