Hii timu mzee bakhresa bora hizo pesa angejenga vyoo vya stendi.Azam ni ileile tu, wachezaji hawana pressure yoyote,Simba na Yanga sometimes wanafanikiwa kutoka na matusi ya majukwaani na mitandaoni,sasa Azam wachezaji hata hawajitumi.......... imagine dk 90 no shot on target
Kipre juniour alikuwepo?Azam ni ileile tu, wachezaji hawana pressure yoyote,Simba na Yanga sometimes wanafanikiwa kutoka na matusi ya majukwaani na mitandaoni,sasa Azam wachezaji hata hawajitumi.......... imagine dk 90 no shot on target
Ali kamwe ni mmama,yaani miaka yote yupo azam tv anaisifia azam fcAli kamwe jana kasema Azam ni timu ndogo inayojipapatua kua timu kubwa.
Alikuwepo Yanga pia kabla hajaenda AzamAli kamwe ni mmama,yaani miaka yote yupo azam tv anaisifia azam fc
Ule msimu wao wafanikio ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara walitumia mbinu ipi?Kitu pekee anachofeli azam kila msimu nasikia boss wao haamnini kwenye upande wa pili kama kuvunja nazi na kuruka mageti kama yanga ndio maana kila msimu wanafeli wao.
Hii point .Kila kitu wanapata ila yanatembea tu uwanjani.Azam ni ileile tu, wachezaji hawana pressure yoyote,Simba na Yanga sometimes wanafanikiwa kutoka na matusi ya majukwaani na mitandaoni,sasa Azam wachezaji hata hawajitumi.......... imagine dk 90 no shot on target