Subiri tuwaongeze Cha Pili. Walidhani watarudi na mchele na maparachichi eeh.Refa muda maliza mpira
Wamejaza matakataka tu.. Hawa bila bahasha hata nafasi ya tatu hawaichukuiTukisemaga team haina wachezaji hii watu wanabisha mno
Bora ww bila kununua wachezaji wa 4 simba hii akuna kituTimu yangu ni mbovu, tumefunga goli la offside,bora kuangalia Mpali kuliko kuendelea kuangalia mbeleko
Kocha hana plan B, hajui kufanya hata tactical adjustments kuendana na wachezaji alionao, ni mbovu msimtetee hii Simba itamaliza nafasi ya tano kwa huu mwendo.Tatizo la simba sio kocha ni ubovu wa wachezaji, tusimuonee kocha hata kidogo
Hamna team nyieWaleteee wale wa ngada bado tupo tupo sanaaaaq
Huu ni ukweli.Tukisemaga team haina wachezaji hii watu wanabisha mno
Dada ficha ujinga iyo ni clear offside labda kwavile hukucheza mpiraHamna cha offside hapo ambao hawana akili ndo wanaona offside
Hafi sasas ni 1:1 kwa hiyo shekhe Yahaya umekoseaMbeya city 0 simba 2
Iyo rahasasa [emoji2960]Wee ndo ujionee huruma kutwa kuiwaza Simba. Sisi wenyewe tuna raha na timu yetu mbonaa
Kweli kabisa yani, timu inaahambuliwa lakini hata hawashtuki kabisa unaona boko anatembea kabisa, kibu ndio kabisa...Lkn pia wachezaji wa Simba wana tabia ya kuridhika wakizidiwa. Hii ni tofauti na Yanga.
Unategemea afanye nn benchi kuna Kiyombo, Akpan na KibuKocha hana plan B, hajui kufanya hata tactical adjustments kuendana na wachezaji alionao, ni mbovu msimtetee hii Simba itamaliza nafasi ya tano kwa huu mwendo.
Tukisema sisi wanabishaNAIANGALIA SIMBA YANGU.
INAKATISHA TAMAA.
TIMU INA WACHEZAJI WADOGO MNO.
QUALITY IPO CHINI SANA.
HATA PASI TATU HAZIFIKI.
PAPATU PAPATU TU.
Hii timu haina wachezaji tutafukuza makocha mpaka mwakani lakini je wachezaji wazuri wako wapi?Tukisemaga team haina wachezaji hii watu wanabisha mno