FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Mbeya City 1-1 Simba SC | Uwanja wa Sokoine 23/11/2022

Hii takataka Habibu Kyombo halina msaada kwa timu bora hata Kibu kuna nyakati alikua superb
 
1669214827055.png
 
Nilijua Sakho majeruhi,kumbe Mgunda ni boya sana,unamwingizaje muda umeisha?
 
Tuseme ukweli tu ni wakati sasa wa kusafisha kikosi, simba sisi wachezaji hatuna
 
Ila nyie Simba kwa mujibu ya maneno yenu msimu uliopita mnadai mnakuwaga wazuri round ya pili so jipeni moyo ligi bado kabisa.

Halafu mnakaziwa wachezaji wenu wazuri, Kibu akiwa CAF anakuwa mara mbili ya Phiri so bado mpo vizuri.
 
Ila nyie Simba kwa mujibu ya maneno yenu msimu uliopita mnakuwa wazuri round ya pili so jipeni moyo ligi bado kabisa.

Halafu mnakaziwa wachezaji wenu wazuri, Kibu akiwa CAF anakuwa mara mbili ya Phiri so bado mpo vizuri.
Simba haina Quality players
 
Back
Top Bottom