FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Inahitaji wachezaji kocha mtafukuza mno kwa awa mapimbiSimba inamuhitaji kocha mkuu mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inahitaji wachezaji kocha mtafukuza mno kwa awa mapimbiSimba inamuhitaji kocha mkuu mpya.
Hao aliwakuta akasema wanamfaa, angewakataa kama aliona hawamfai.Unategemea afanye nn benchi kuna Kiyombo, Akpan na Kibu
Naomba mungu tumalize hata nafasi ya 10 ili akili zitukae sawa next season tutakuwa serious na kaziKocha hana plan B, hajui kufanya hata tactical adjustments kuendana na wachezaji alionao, ni mbovu msimtetee hii Simba itamaliza nafasi ya tano kwa huu mwendo.
Kocha hana jinsi, hana mbadalaUnategemea afanye nn benchi kuna Kiyombo, Akpan na Kibu
Player's mgunda hana shidaTukipoteza pointi mbili na leo, na kwa ile kasi ya Azam, sasa Simba tunaipigania nafasi ya pili, sio ya kwanza tena, tusidanganyane, Mgunda hatoshi.
[emoji23][emoji23]Tunacheeka kwa dharaaau. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kama angewakataa wengine watatoka wapi kwa sasa?Hao aliwakuta akasema wanamfaa, angewakataa kama aliona hawamfai.
Tulishamfanya mbona labda tumrudieKama mbeya kamfanya hivi mnyama sijui Azam itamfanyaje.
Timu hatuna, hata akija pep mwenyewe hapa hawezi kuchukua kikombeHatuna timu! Huo ndio ukweli. Management na bodi ya Simba wametuingiza mkenge msimu wa pili huu.
Chama peke yake atafanya nini mkuu!Hivi chama yupoo kweli[emoji16]
Simba haina Quality playersIla nyie Simba kwa mujibu ya maneno yenu msimu uliopita mnakuwa wazuri round ya pili so jipeni moyo ligi bado kabisa.
Halafu mnakaziwa wachezaji wenu wazuri, Kibu akiwa CAF anakuwa mara mbili ya Phiri so bado mpo vizuri.