FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Mushaanza kujitoa ufaham, sio?
Kweli unga wa sembe ni hatari kwa afya ya akili.
Yule hana mguu wa kuvaa golden shoe

Mfanyieni hisani kwa kumpa ng'ombe ingine
 
Nawakumbusha tu kuwa pamoja na kucheza mechi mbili zaidi, Yanga bado anawaongoza kwenye msimamo wa ligi na Mayele anawaongoza kwenye chati ya ufungaji magoli
Yanga kuongoza ligi ni presha kwa Simba Ila mayele kuongoza magoli sio ishu kwani ataishia kuolewa ng'ombe tu
 
Soka la ushindani ni lipi? Inawezekana hata hujui maana ya hilo neno. Niambie Simba walipocheza na Al Ahly,Nkana,Kaizer Chiefs,TP Mazembe , As Vita... Ilikuwa ni soka gani?

Walipocheza na Yanga, Ruvu, Coastal n.k ni soka la mazoezi au ushindani? Maana inawezekana hilo neno unalisikia sikia ila hujui maana yake. Mimi mwanayanga mwenzio. Lakini sina ushabiki maandazi. Chama ni mchezaji Mzuri Mwenyekiti wetu Hersi alishawahi sema hata sisi tunamtaka basi tu.

Tufikie hatua tuache wivu, roho mbaya na ushabiki wa kike. Tuupende mpira kwanza.
 
Hamna uwezo wakufunga timu yyte zaidi ya izo za mkiani tu.. halafu sibishani na mshabiki muoga ambae anasubilia aone Timu imeshinda ndio ajitokeze.. shabiki mwoga km mbwa koko
Haya sasa kiko wapi mtoto mdogo tena wa mkiani kakutoa bi.kra
Nakusubiri ban ishe tuendeleze ligi vizur
 
Haya sasa kiko wapi mtoto mdogo tena wa mkiani kakutoa bi.kra
Nakusubiri ban ishe tuendeleze ligi vizur
Huyo kazi yake ni kuropoka, hana utaratibu wa kuweka akiba ya maneno..!

Waliteta dharau kubwa sana, Nadhani sasa wamepata somo.
 
Huyo kazi yake ni kuropoka, hana utaratibu wa kuweka akiba ya maneno..!

Waliteta dharau kubwa sana, Nadhani sasa wamepata somo.
Mnoo wqnatujua mashabiki wa simba hatuna dogo kitawaka humu hah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…