Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kombe bado sana kusema mtachukuaMmerudi kwenye ligi ya kiatu kombe msha nyoosha mikono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe bado sana kusema mtachukuaMmerudi kwenye ligi ya kiatu kombe msha nyoosha mikono
Lucy eymail nyie aliwaita nani?Hao ndio mbumbumbu aliyewaita ndugu Aden Rage..
Mayele anaenda na upepoMmeanza kubwata eti, mmeanza kulinganisha mlima na kichuguu kwa mara nyingine eti baada ya kumuangukia kibonde anayevuta mkia, Rage apewe heshima yake akukosea kuwaita mbumbumbu,
Yule hana mguu wa kuvaa golden shoeMushaanza kujitoa ufaham, sio?
Kweli unga wa sembe ni hatari kwa afya ya akili.
Yanga kuongoza ligi ni presha kwa Simba Ila mayele kuongoza magoli sio ishu kwani ataishia kuolewa ng'ombe tuNawakumbusha tu kuwa pamoja na kucheza mechi mbili zaidi, Yanga bado anawaongoza kwenye msimamo wa ligi na Mayele anawaongoza kwenye chati ya ufungaji magoli
Muulize Gentamicine atakupa jibuKombe bado sana kusema mtachukua
Utopolo ndio maana walikua wanapelekeana Moto kambini sababu ya mwiko kule nyuma kabwili fcVipi huko nyuma mwiko unauma?
Soka la ushindani ni lipi? Inawezekana hata hujui maana ya hilo neno. Niambie Simba walipocheza na Al Ahly,Nkana,Kaizer Chiefs,TP Mazembe , As Vita... Ilikuwa ni soka gani?Ndio maana nimesema soka la ushindani.. unajua kwanini hawiki au hawezi kwenda kucheza timu kubwa barani AFRIKA? Au kwanini aliflop huko kwenye ligi zilizoenda shule??
Kwenye comment yangu hakuna mahala nimesema ukiwa na mbio ndio unajua kucheza mpira
Haya sasa kiko wapi mtoto mdogo tena wa mkiani kakutoa bi.kraHamna uwezo wakufunga timu yyte zaidi ya izo za mkiani tu.. halafu sibishani na mshabiki muoga ambae anasubilia aone Timu imeshinda ndio ajitokeze.. shabiki mwoga km mbwa koko
Huyo kazi yake ni kuropoka, hana utaratibu wa kuweka akiba ya maneno..!Haya sasa kiko wapi mtoto mdogo tena wa mkiani kakutoa bi.kra
Nakusubiri ban ishe tuendeleze ligi vizur
Mnoo wqnatujua mashabiki wa simba hatuna dogo kitawaka humu hahHuyo kazi yake ni kuropoka, hana utaratibu wa kuweka akiba ya maneno..!
Waliteta dharau kubwa sana, Nadhani sasa wamepata somo.