Unataka kuniambia wala unga wa sembe mpaka sasa hali ni mbaya.hamna timu ndugu zetu jipangeni upya
Yaani Hawa police Leo wanajichukulia point tatu kiulani kabisaaUnataka kuniambia wala unga wa sembe mpaka sasa hali ni mbaya.
Mayele huyo...Tuko pamoja
upo busy na wodikapu?Tuko pamoja
Mungu awaongoze wachukue points zao.Yaani Hawa police Leo wanajichukulia point tatu kiulani kabisaa
Huwezi tofautisha Police na Simba utadhani zote zinapambana kubaki kwenye ligiYaani Hawa police Leo wanajichukulia point tatu kiulani kabisaa
Mtoa post hauchelewi kupotea kizani.Twende Kazi, hii ni Simba SC yetu mpaka mwisho.. Nguvu Moja [emoji881]
Siwamekutana na vibonde!!!Hawa polisi mbona leo wanaupiga hivi
Usirudi kulialia hapaPolisi kuifunga Simba labda pingu lakini haina uwezo wa kushinda.