FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Kikosi kizuri ila Mzamiru namuona ana maruweruwe flani hivi. Lakini pia waelewe malengo yao. Wanahitaji kuongeza jitihada za malengo kama wenzao. Polisi wanacheza total football. Si mchezo wa kufanya makosa madogomafogo. Kinyume cha hapo, tabu iko palepale.
 
Twende Kazi, hii ni Simba SC yetu mpaka mwisho.. Nguvu Moja [emoji881]
Mtoa post hauchelewi kupotea kizani.
Tuambie ni dakika ya ngapi?
Na ipi tathmini yako mpaka muda huu?
 
Walioanza kikosi cha kwanza Simba wakishindwa kupata matokeo chanya, itakua ndo kwaheri maana waliopo benchi ni uchafu mtupu.
 
Simba wanalialia hapa wakidai wapewe penati baada ya sakho kujiangusha ndani ya 18
 
Back
Top Bottom