FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Nawakumbusha tu kuwa pamoja na kucheza mechi mbili zaidi, Yanga bado anawaongoza kwenye msimamo wa ligi na Mayele anawaongoza kwenye chati ya ufungaji magoli
Na mimi nichukue nafasi hii kukukumbusha kuwa huu ni mzunguko wa kwanza bado wa pili kumalizia msimu. Lolote laweza tokea
 
Na mimi nichukue nafasi hii kukukumbusha kuwa huu ni mzunguko wa kwanza bado wa pili kumalizia msimu. Lolote laweza tokea
Lolote linaweza kutokea mkuu wala sijapinga.. ila ukiangalia Kuna timu imecheza mechi 49 za ligi bila kupoteza hapo na ndio wanaongoza ligi huku wakiwa na mechi pungufu walizocheza..
Mpira ni takwimu na takwimu zinawabeba.
 
Huu Uzi ulikua umepoa sana.. bila sisi utopolo kuuchangamsha kidogo sijui ingekuwaje..

Sajilini timu nzuri ili angalau msiwe mnakimbia mechi zenu
 
Lolote linaweza kutokea mkuu wala sijapinga.. ila ukiangalia Kuna timu imecheza mechi 49 za ligi bila kupoteza hapo na ndio wanaongoza ligi huku wakiwa na mechi pungufu walizocheza..
Mpira ni takwimu na takwimu zinawabeba.
katika hizo za ligi zipo pia za Zalan ya Sudan ya Kusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…