Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Kwa hiyo Yanga next week ikiifunga Ihefu itakuwa imepiga bomu mochwari sio? Au umesahau kuwa mnakuja Mbeya kucheza na Ihefu?Kuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihefu