Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Leo mtu anakula tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La 8 hiloPhiri afunge hat trick
KwikwikwkwikwiYule muache atangulie na baskali ya mabua
Hili nalo nenoViongozi wa simba mnapokeenda kucheza mechi mikoani ikabidhini timu kwa viongozi wa matawi wa mkoa husika, msidharau hii.
Kabisa..assist mbili zote kwa phiriSiangalii game la leo ila tumewahi kujadili uamuzi bora kabisa wa kumleta Mzambia mwenzake pale mbele.
Nafikiri siri moja ya mafanikio ya Yanga ni uwepo wa watu wengi wanaotoka taifa moja.
Endelea kuotaYaani Hawa police Leo wanajichukulia point tatu kiulani kabisaa
[emoji23]Unazungumzia goli walilopata Morroco?
Lile ni offside si umecheki 3D preview?
ndo mechi zake, huwez mwona anatamba mechi kubwa kama ya yangaChama leo kacheza kila eneo kasoro golikipa tu
Ukizeeka utakuwa mchawi we jamaa😀ndo mechi zake, huwez mwona anatamba mechi kubwa kama ya yanga
Ukapimwe mkojo..Mimi nasema ubingwa msimu huu ni wa Simba
kati ya mechi 7+ chama alionekana mechi 1 tu. huyu hizi ndo mechi zakeUkizeeka utakuwa mchawi we jamaa😀
kati ya mechi 7+ chama alionekana mechi 1 tu. huyu hizi ndo mechi zake