Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendeleaHuu Uzi ulikua umepoa sana.. bila sisi utopolo kuuchangamsha kidogo sijui ingekuwaje..
Sajilini timu nzuri ili angalau msiwe mnakimbia mechi zenu
Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea
Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa. !
Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
Hersi na Emayel wapewe heshima... wanawajuwa sana vyura wala mihogoMmeanza kubwata eti, mmeanza kulinganisha mlima na kichuguu kwa mara nyingine eti baada ya kumuangukia kibonde anayevuta mkia, Rage apewe heshima yake akukosea kuwaita mbumbumbu,
Vipi huko nyuma mwiko unauma?Police Hawa Simba ni size yenu kabisa, japo wametangulia kwa goli mbili za mchongo ila hawajawazidi kitu.
Mkikomaa Cha pili mnachomoa kama walivyofanya mbeya city na Kmc.. Simba hamna timu hapo wangu komaeni
Ile mechi 1-1 goli la okra assist ilitoka kwa kiungo kono konondo mechi zake, huwez mwona anatamba mechi kubwa kama ya yanga
Kama umeumia polisi kupigwa tatu peleka timu yako ushirika moshi kipigwe kuputa kingneKuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihefu
We mbwa koko umetoka bandani baada ya kusikia mmeshinda eti. Shabiki mwoga kama ww haupaswi kuwa wa SimbaVipi huko nyuma mwiko unauma?
Hamna uwezo wakufunga timu yyte zaidi ya izo za mkiani tu.. halafu sibishani na mshabiki muoga ambae anasubilia aone Timu imeshinda ndio ajitokeze.. shabiki mwoga km mbwa kokoKama umeumia polisi kupigwa tatu peleka timu yako ushirika moshi kipigwe kuputa kingne
Ile mechi Yanga aliyokufa 4-1,chama akitamba ulikuwa Bado hujaanza kushabikia mpira?ndo mechi zake, huwez mwona anatamba mechi kubwa kama ya yanga
duh!.Moroco huko wamebomoa kina lissu [emoji1787][emoji1787]
Zile nyuzi zenu za majigambo zimekauka siku hiziJana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea
Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa..!
Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
Kalpana, Scars, Pettymagambo
ukinisoma chini nimejibu kati ya mechi zaidi ya 7 walizokutana na yanga alionekana mechi moja tu iyo iyo ipi nyingineIle mechi Yanga aliyokufa 4-1,chama akitamba ulikuwa Bado hujaanza kushabikia mpira?
mkuu ulitegemea uzi wetu ufike page 160Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea
Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa..!
Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
Kalpana, Scars, Pettymagambo
Si umesema hawezi kutambaa mbele ya Yanga?Chama ametamba dhidi ya mechi kubwa Africa kama Al ahly,TP mazembe Kaizer chief,ije kuwa Yanga???ukinisoma chini nimejibu kati ya mechi zaidi ya 7 walizokutana na yanga alionekana mechi moja tu iyo iyo ipi nyingine
Ronaldo ameshindwa wika Manchester, Messi naye hajafanya vizuri ufaransa. Mazingira huwa inachangia wachezaji wengi washindwe sehemu nyingine na mfumo pia. Kuna wachezaji wapo yanga waliachwa na team zao. Kisinda alishindwa kule pamoja na mbio zake amerudi bado mbio zake hazijasaidia kitu hata katika yanga. Mpira ni akili.Ndio maana nimesema soka la ushindani.. unajua kwanini hawiki au hawezi kwenda kucheza timu kubwa barani AFRIKA? Au kwanini aliflop huko kwenye ligi zilizoenda shule??
Kwenye comment yangu hakuna mahala nimesema ukiwa na mbio ndio unajua kucheza mpira
Sawa kabisa nyani wa luc eymael huo mwiko huko nyuma unakuwasha?We mbwa koko umetoka bandani baada ya kusikia mmeshinda eti. Shabiki mwoga kama ww haupaswi kuwa wa Simba
Toa huo mwiko uko nyuma kwqnza ntakuelewaHamna uwezo wakufunga timu yyte zaidi ya izo za mkiani tu.. halafu sibishani na mshabiki muoga ambae anasubilia aone Timu imeshinda ndio ajitokeze.. shabiki mwoga km mbwa koko
Mushaanza kujitoa ufaham, sio?Yule muache atangulie na baskeli ya mabua
ndio uhalisia huo kabw.l wwMushaanza kujitoa ufaham, sio?
Kweli unga wa sembe ni hatari kwa afya ya akili.