FT: Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania 1-3 Simba SC | Uwanja wa D'eL Ushirika 27/11/2022

Huu Uzi ulikua umepoa sana.. bila sisi utopolo kuuchangamsha kidogo sijui ingekuwaje..

Sajilini timu nzuri ili angalau msiwe mnakimbia mechi zenu
Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea

Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa..!

Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
Kalpana, Scars, Pettymagambo
 
Sio huku tu ni kwenye page zote za Simba uto lazima wakatukane na kukejeli,wasivyo na akili wanafikiri wanatunyoosha
Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea

Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa. !

Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
 
Police Hawa Simba ni size yenu kabisa, japo wametangulia kwa goli mbili za mchongo ila hawajawazidi kitu.

Mkikomaa Cha pili mnachomoa kama walivyofanya mbeya city na Kmc.. Simba hamna timu hapo wangu komaeni
Vipi huko nyuma mwiko unauma?
 
Kuna watu wamepiga Bomu mochwari halafu wanajisifu wameua.. Kwa taarifa yenu ni kuwa police ipo mkiani mwa ligi pamoja na ihefu
Kama umeumia polisi kupigwa tatu peleka timu yako ushirika moshi kipigwe kuputa kingne
 
Hamna uwezo wakufunga timu yyte zaidi ya izo za mkiani tu.. halafu sibishani na mshabiki muoga ambae anasubilia aone Timu imeshinda ndio ajitokeze.. shabiki mwoga km mbwa koko
 
Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea

Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa..!

Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
Kalpana, Scars, Pettymagambo
Zile nyuzi zenu za majigambo zimekauka siku hizi
 
Ile mechi Yanga aliyokufa 4-1,chama akitamba ulikuwa Bado hujaanza kushabikia mpira?
ukinisoma chini nimejibu kati ya mechi zaidi ya 7 walizokutana na yanga alionekana mechi moja tu iyo iyo ipi nyingine
 
Jana Uzi wa Yanga Vs Mbeya City ulifikia #124 Leo Polisi Tanzania Vs Simba SC umefikia #160 na bado unaendelea

Inawezakana MTU kulisha mbuzi wa mwenzake ilhali wa kwake ana njaa..!

Kihesabu tu hata kama wenye akili kule Utopolo ni wa wawili, basi hata na hili nalo mnashindwa kung'amua.?! Tukiwaambia kuwa Simba [emoji881] ndo Wataalamu wa mambo haya muwe mnaelewa yaani..!
Kalpana, Scars, Pettymagambo
mkuu ulitegemea uzi wetu ufike page 160
maana kule tulikuwa mabingwa watupu, nyie wote mlikimbia kama nfo wewe hata usiseme bora Scars anaonekana wewe wasubiri ushindi tu ndo upige kelele

mabingwa tuko pote pote kwetu hata kwenu

nakukumbusha takwimu za tff zinawatambua mabigwa kwa kuwa wa kwanza kila mwaka kuingia kuitizama timu yao
 
ukinisoma chini nimejibu kati ya mechi zaidi ya 7 walizokutana na yanga alionekana mechi moja tu iyo iyo ipi nyingine
Si umesema hawezi kutambaa mbele ya Yanga?Chama ametamba dhidi ya mechi kubwa Africa kama Al ahly,TP mazembe Kaizer chief,ije kuwa Yanga???
Kama mpaka Sasa huelewi uwezo wa chama basi wewe utakuwa hujui mpira Bali unaendeshwa na ushabiki maandazi!
 
Ndio maana nimesema soka la ushindani.. unajua kwanini hawiki au hawezi kwenda kucheza timu kubwa barani AFRIKA? Au kwanini aliflop huko kwenye ligi zilizoenda shule??
Kwenye comment yangu hakuna mahala nimesema ukiwa na mbio ndio unajua kucheza mpira
Ronaldo ameshindwa wika Manchester, Messi naye hajafanya vizuri ufaransa. Mazingira huwa inachangia wachezaji wengi washindwe sehemu nyingine na mfumo pia. Kuna wachezaji wapo yanga waliachwa na team zao. Kisinda alishindwa kule pamoja na mbio zake amerudi bado mbio zake hazijasaidia kitu hata katika yanga. Mpira ni akili.

But mazingira, formation ya mpira, wachezaji wenzio, samatta alishindwa Uingereza but alitoka ile team nyingine akiwa wa moto sana. Mpira una mambo mengi bob. Mimi nimechezea Yanga miaka yangu. Hatujuani tu humu
 
Hamna uwezo wakufunga timu yyte zaidi ya izo za mkiani tu.. halafu sibishani na mshabiki muoga ambae anasubilia aone Timu imeshinda ndio ajitokeze.. shabiki mwoga km mbwa koko
Toa huo mwiko uko nyuma kwqnza ntakuelewa
Utanikuta humu sasa hivi
 
Back
Top Bottom