FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Mpira Umeanza

05' Yanga 0 - 0 Geita Gold

16' Goal: Moloko anaifungia Yanga goli la kwanza

Ni Jumamosi Tulivu yenye Bashasha, Leo Tena Timu Ya Wanainchi Ikiwa Kwenye Uwanja Wake Wa Nyumbani Kwa Mkapa Wanawakaribisha Wachimba Madini Wa Geita, Katika Muendelezo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Geita Wanaingia Around Ya Pili wakiwa na Kumbukumbu Ya Kufungwa na Namungo Kwenye Mzunguko Wa Kwanza, Huku wanainchi Wakiwa Wametoka Kushinda mbele Ya Walima Miwa wa Kagera, Kagera Sugar.

Leo Nani Kuwa Mbabe Wa Mwenzie Ni Yanga Au Geita Gold?

Tuwe hapa Wote kwa Dakika 90
 
Kikosi cha leo vs Geita.

Kocha Nabi naye anazingua Nchimbi sio wa kukaa hata sub. Halafu huyu Yacouba sijui anampendea nini mechi iliyopita kaikosesha Yanga ushindi mnono kipindi cha kwanza halafu leo anampanga tena. Kwanini asimpange Yusuph Athuman
IMG_20211002_181929.jpg
 
Yanga leo inacheza na Toto lake.

Nawatakia heri ya matokeo ya suluhu ya 1-1.

Ila Uto kwenye ile kampeni yenu ya Hamasa Mikoani, Leo Sijasikia mkiwahaidi milioni 15 Geita ili wapate ushindi.
 
Kikosi cha leo vs Geita.

Kocha Nabi naye anazingua Nchimbi sio wa kukaa hata sub. Halafu huyu Yacouba sijui anampendea nini mechi iliyopita kaikosesha Yanga ushindi mnono kipindi cha kwanza halafu leo anampanga tena. Kwanini asimpange Yusuph AthumanView attachment 1960432
Dah wa TZ wanne tu, halafu eti timu ya wananchi
 
Geita Gold anaupiga mwingi kinoma. Mungu wabariki geita gold wapate point 3 muhimu leo [emoji1317][emoji1317]
 
Back
Top Bottom