FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Yanga tatizo la ufungaji bado liko pale pale, huwezi ukatengeneza fursa za kufunga zaidi ya sita kisha unaishia kufunga goli moja tena kwa mbinde.

Huyo Yakouba sijui ni kwa nini kocha anang'ang'ania kumchezesha hata pale inapodhihirika kwamba anapoteza mno fursa nyingi za kufunga mabao. Hii ndio shida kubwa ya makocha.
Ungejiuliza kwanza amatengeneza nafasi ngapi kwa wengine hata kabla ya yeye kutengenezewa ukilinganisha na namba aliyo chezeshwa.
 
Kiukweli Simba na Yanga bado kuonesha usindi mzuri. Wameanza na timu ndogo tu goli Moja Moja. Siku wakikutana na miamba itakuwaje? Nilitegemea hizi timu ndogo zilambwe hata goli 5 na Simba na Yanga. Ushindi mwembba huo kwa Simba na Yanga.
 
Nyani uliechangamka

4F39EC5C-625F-4F0D-9D1F-0FB62FED3290.jpeg
 
Kiukweli Simba na Yanga bado kuonesha usindi mzuri. Wameanza na timu ndogo tu goli Moja Moja. Siku wakikutana na miamba itakuwaje? Nilitegemea hizi timu ndogo zilambwe hata goli 5 na Simba na Yanga. Ushindi mwembba huo kwa Simba na Yanga.
Hio miamba ni timu zipi? Azam mwenye point moja tu? Au una maanisha timu zipi hizo?
 
Back
Top Bottom