KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Ungejiuliza kwanza amatengeneza nafasi ngapi kwa wengine hata kabla ya yeye kutengenezewa ukilinganisha na namba aliyo chezeshwa.Yanga tatizo la ufungaji bado liko pale pale, huwezi ukatengeneza fursa za kufunga zaidi ya sita kisha unaishia kufunga goli moja tena kwa mbinde.
Huyo Yakouba sijui ni kwa nini kocha anang'ang'ania kumchezesha hata pale inapodhihirika kwamba anapoteza mno fursa nyingi za kufunga mabao. Hii ndio shida kubwa ya makocha.