FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

FT: Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 1- 0 Geita Gold

Utofauti wenu nyinyi yanga ni wepesi kudanganyika, na ndio maana mpaka leo mnaendelea kummhangaika na morison

Mlidanganywa mnachkua ubingwa na kama ikitokea hamjachkua mkamuulize bwana nugaz, mkaamini lakini ubingwa ukaenda msimbazi. Mlimfata nugaz?

Haya kama hiyo haitoshi na goli kipa aliyeletwa mlidanganywa kua ni bora zaidi ana daka gmhadi mishale lakini humu zilifululiza nyuzi za wana yanga wenzako wakilalamika kua jamaa anafungwa magoli mepesi

Now mmeanza kumpaisha aucho, wengine wameenda mbali wakamfananisha mpaka na chama na kusema aucho kamzidi chama

Hizi sifa na tambo hamjaanza leo, kuna tambo gani iliyobamba kama ile ya kumbeba juu juu kalinyo?
Mzee wabishana mpaka ufe unaandika article then pumba tupu,msimu huu utapata tabu sana wenzako waelevu washajua,Yanga iko vizuri sekta zote na watu wa fitna wamerudi,mmeanza kulalamika first game kule mara,na dom mmelalamika vuta picha kama miaka 4 nyuma mlikua kwenye hali hiyo mwanzoni tu mwa ligi,utaumia sana msimu sana huu yan ngoma ndio kwanza bado mbichi
 
gsm.jpg
 
"Foward Ever Backward Never".

Kuna MWIKO wa mapishi umeuona hapo?

Kuna neno, "BUTTOCKS" umeliona hapo!?!!
Hiyo "forward never backward ever" umeitoa wapi??
Mi nachojua Ni forward ever a spatula is in our behinds...Na Kila mtu anajua behind Ni tafsida ya butt
 
jionee mwenyewe hapa
View attachment 1960720

Na nyie pia mpo ila kwa huku chini mmezidiwa na namungo, wale rivers waliowapiga nje ndani ni wa 2 kutoka mwisho. Unapata picha gani hapo? wewe mwana yanga unapatia wapi nguvu za kusema yanga ni timu kubwa?




View attachment 1960722


Najua unaweza ukahisi nimetunga, nimeweka PDF hapo unaweza jichekia mwenyewe
Usitegemee majibu hapa watapita kama Hawaoni vile.
 
Yanga tatizo la ufungaji bado liko pale pale, huwezi ukatengeneza fursa za kufunga zaidi ya sita kisha unaishia kufunga goli moja tena kwa mbinde.

Huyo Yakouba sijui ni kwa nini kocha anang'ang'ania kumchezesha hata pale inapodhihirika kwamba anapoteza mno fursa nyingi za kufunga mabao. Hii ndio shida kubwa ya makocha.
Kuna tatizo nafikiri ninla kisaikolojia zaidi straikers wakifika goloni utulivu unakúahakuna,

On target 6
Offtarget 11
Corner 4
Total. 21

Amihojiwa na Azam kocha Nab amesema watahamia Arusha kwenda kujifua zaidi kuondoa hii changamoto, kwenye haya mapumziko timu zikiwa kwenye national team
 
Ukitaka kujua timu bora iangalie kimataifa, sasa hapa ndani mnatumia nguvu nyingi kuhonga na ahadi kemkem ili Simba afungwe hivi huo ni mpira au jihadi. Vitimu vidogo voboooooooovu vitaishia ligi ya ndani tu labda mpate mbeleko kutoka Simba kimataifa
 
Nawahakikishieni wanayanga timu yetu ni bora sana, bakuna timu ilio bora kwa sasa kama Yanga, haipo ni mambo machache sana pale mbele ya kuweka sawa tena ni issue ya kisaikolojia ya wachezaji tu
 
Nyie wazuri sisi wabovu mna point ngapi?
point ndio nini?

Kwani kipi cha ajabu? Ni mara yenu ya kwanza kuongoza ligi kwa kuizidi simba point?

Mmmesahau mwaka jana mliongoza ligi kwa kua unbeaten still kombe hamkupata?

Na ndo hivyo hivyo itakavyokua kwa msimu huu
 
Kikosi cha leo vs Geita.

Kocha Nabi naye anazingua Nchimbi sio wa kukaa hata sub. Halafu huyu Yacouba sijui anampendea nini mechi iliyopita kaikosesha Yanga ushindi mnono kipindi cha kwanza halafu leo anampanga tena. Kwanini asimpange Yusuph AthumanView attachment 1960432
Yacouba anatakiwa awe anaanzia benchi! Awe anaingizwa dakika ya 60 hadi ya 70 ya mchezo! Jana tena kakosa magoli mengi sana!
 
Kwa kiwango cha timu yako hiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmmhhhmmmmmmmmm hamna maajabu ni kile kile cha miaka 4 iliyopita hakuna maajabu
Simba hebu acheni utovu wa nidhamu, kwa sasa tunabishana na walio na points sita,nyie tulieni kwanza. Wewe umepata ushindi wa goli moja tena timu pinzani ikiwa na upungufu wa mchezaji mmoja
 
Back
Top Bottom