Sema kwelivijana watajikaza sana hadi ht 2 bila tukirudi 3 jumla 5.
mzee hapa tuna vinara wa magoli ligi 2 tunawakosajeSema kweli
HUyo ni chura mwenzioHalafu hawa Mikia sijui Huwa wanawashwa nini kuanzisha Uzi mechi za Yanga
Na tuonemzee hapa tuna vinara wa magoli ligi 2 tunawakosaje
We huyo ni mkia mwenzakoHUyo ni chura mwenzio
Toa basi wewe 🐸refa mpuuzi huyu penati ya wazi anakausha
Humjui huyo ni imposterWe huyo ni mkia mwenzako
Wana fatigueLeo vipi jamani mbona ufundi haupo
Nikajua ni mkia maana ndio Huwa mnawashwa sana kuanzisha nyuzi [emoji23][emoji23]Humjui huyo ni imposter
Tafuta nyuzi zake ndo utajua ni Chura topolo
Mwanangu utopolo og hauna mpya mpya za huko mikiani? Tuna arosto sana na nyuzi zako zinazowahusu hawa Mikia[emoji881][emoji23]Wananchi leo ndio tunaanza ligi. Naona Musonda ana hatrick, Mayele ana hatrick, Morison hatrick na Aziz K nae hatrick.
Leo mtu anakufa goli 13-1
Umeona mbaliHii ngoma naiona droo leo hii..