Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Wakiwa katika menopause ndio wanavyokuwa wala usishangae mkuuSijui huwa unawashwa nini na Mimi we mama[emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiwa katika menopause ndio wanavyokuwa wala usishangae mkuuSijui huwa unawashwa nini na Mimi we mama[emoji848][emoji848][emoji848]
Ila yule beki ni mfungaji mzuri sana mkuu.Haya maneno yenu tumeshayazoea. Pigeni kelele weeeh! Mwisho wa msimu, wananchi wananyanyua makwapa kwa mara nyingine tena.
Sawa kafungue kesi TAKUKURU maana unao uhakika kuna biashara imefanyika. Ambatanisha na vithibitisho vyako, msitupigie kelele za kulia lia humu wakati mamlaka zipo. Chukua hatuaHakuna kilichomponza zaidi ya Bahasha tu
Ana goli moja zaidi ya Musonda na sawa na Kisinda.Ila yule beki ni mfungaji mzuri sana mkuu.
Wanatoa hela nyingi mpaka wachezaji wa timu pinzani wanagombania nani afunge ili apate nyingi.Nilisema mshukuruni ile kujifunga leo ilikua droooo
Ila jama tujaribuni kutanua kope mbona magoli ya hivi jama.Ana goli moja zaidi ya Musonda na sawa na Kisinda.
Wakumbushe kwamba zimebaki mechi 9 tu na game mbili tu ndiyo away. Wakumbushe pia Singida,Namungo,Ihefu na Azam wanaeavutia kasi na Kibu waoHaya maneno yenu tumeshayazoea. Pigeni kelele weeeh! Mwisho wa msimu, wananchi wananyanyua makwapa kwa mara nyingine tena.
Yule mchezaji kweli alikuwa anaokoa ule mpira?Kwanzia ufatilie mpira ukiachan na soka la Tanzania, je hukuwahi kuona wachezaji wakijifunga?
Toka walazimike kubadili jezi zao nyeusi wamekuwa wanapata goli kama hizi. Wamekiuka masharti ya mganga wao sasa ni aibu tu.Ila jama tujaribuni kutanua kope mbona magoli ya hivi jama.
Usisahau Manula ana goli mbiliAna goli moja zaidi ya Musonda na sawa na Kisinda.
Mbona povu Bahasha FC😆Sawa kafungue kesi TAKUKURU maana unao uhakika kuna biashara imefanyika. Ambatanisha na vithibitisho vyako, msitupigie kelele za kulia lia humu wakati mamlaka zipo. Chukua hatua
Mahesabu yanakusumbua, sasa tukiendelea hivi wakaendelea kujifunga point Wanapewa wao?Uto mmeshinda bila kufunga goli. Mimi nadhani mtaendelea hivi hivi kwa magoli ya namna hii hadi ligi inaisha na ubingwa hampati.
Ni mtihani kwa kweli iko siku watafunga goli na jicho.Toka walazimike kubadili jezi zao nyeusi wamekuwa wanapata goli kama hizi. Wamekiuka masharti ya mganga wao sasa ni aibu tu.
Mechi na Ihefu walilazimika kuvuta nyavu za golini goli ndiyo likaja.
View attachment 2493468
Ni masharti ya mganga mkuu. Kasema watashinda vigoli vya dizaini hiyo hadi kuchukua kombe la NBC msimu huuHivi vigoli 1-0 kila siku sio masharti ya mganga?!