FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Nawakumbusha tu kuelekea ponts 83 zetu mwishoni mwa ligi, Kwa sasa msimamo umefikia hapa[emoji116][emoji116]
20230123_211709.jpg
 
TAKUKURU fuatilieni Yanga. Mechi ya pili hii wachezaji wa timu pinzani wanafanya makosa ya kimakusudi.
Mpoki man of the match.Kaona muamala unachelewa kaamua kufunga mwenyewe.
Haya maneno yenu tumeshayazoea. Pigeni kelele weeeh! Mwisho wa msimu, wananchi wananyanyua makwapa kwa mara nyingine tena.
 
Imagine! Na Leo squad yote ilikuwa ndani...

Shame
Mmh! Squad Formation ya Yanga ni 4-4-2 [emoji3]?
Bacca, Mudathir, Musonda ni First Squad [emoji3][emoji3][emoji3]?
Muhimu point tatu and Yes Yangaa wamezipata [emoji3]
Muacheni Kocha Nabi akinyumbue Kikosi na kutest formations.
 
Kwani Manula kaishamaliza kuchunguzwa? Tumalize la Manula kisha ndio tuhamie kwa Mwakinyuki. Kilichomponza Mwakinyuki ni kuhakikisha Musonda hapati goli
Dah wewe ndio tafsiri haswa ya migongo wazi.
 
Hizi stress haziwezi kumalizwa hapa JF,hebu take time urekebishe ulipokosea kwenye maisha mengine nnje ya huu utani wa Simba na Yanga [emoji5][emoji5]
Sijui huwa unawashwa nini na Mimi we mama[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom