Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Afu wakiwa na jezi zao zile zile nyeusi kama bati za AlafKumbuka kuwa hawajafunga goli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu wakiwa na jezi zao zile zile nyeusi kama bati za AlafKumbuka kuwa hawajafunga goli.
Pale mbele amezoea kucheza mwenyewe naona saizi wanacheza wawili na kila mtu anataka kufungaMayele leo hakuwa na siku nzurri, katengenezewa nafasi nyingi ila hakuweza kuzaa goli
Mlishangilia sana hata huku mtaani tulizione furaha zenuyanga ajawah shangilia sare zaidi alishangilia vile aziz akimwadhibu manura
mkuu ushindi wako ndo draw ligi kuu huwa nakukanda sanaMlishangilia sana hata huku mtaani tulizione furaha zenu
Hawakuwa wanajua watendaloIla Simba kweli ni mbumbumbu.Yaani mlitegemea Yanga ifungwe na Ruvu shooting!.
Umiliki vipi?Mbona hamsemi kuwa Ruvu wanacheza vizuri kuliko nyinyi?
Hili nalo la kulifanya siri?
Saizi haitakiwi kucheza vizuri bali ni points 3 tu6 points on top of the table
Hizo ni shida zenu wala hatu husiki nazoYanga shukurini tunaowombea na kufunga. Jipangeni. Simba sasa wanawaloga kwenda mbele ni vile tu hawajafanikiwa ila ilitakiwa mechi ya juzi na Leo muwe point sare.
Ukipenda amini, usipopenda acha.
Japo tumemiliki ila hatukuwa na flow nzuri ya mashambuliziUmiliki vipi?
Draw uliitafuta wewe na ulivyoipata ulifanya partymkuu ushindi wako ndo draw ligi kuu huwa nakukanda sana
Hii kitu napenda sana kuisikiaFeisaaaal weeeee,nasemaaa rudi kambini, huku twadharirikaaaa. Sie ndio wa kupata ushindi wa tia maji tia maji😭😭😭😭😭😭😭😀
Sawa Musonda ni mbovu, Sawa dogo na Baleke ni vifaa, umefurahi?Mudathiri kaonesha uwezo, Lawenda Msonda na wenzie ni wabovu
Haya maswala ya kusema tuwape muda ni unafiki tu, mbona katika muda huo huo mchache Mudathiri kacheza vizuri, Baleke kafunga, Sawadogo kacheza vizuri (tena kwenye pitch mbovu)
Inakujae huyu mdau wa TBC asioneshe hata ile nafuu tu
Haya maswala ya kupeana muda tutajikuta tupo kwenye lawama kubwa kwa wachezaji kama Kisinda, Kambole kuwa hawakupewa muda wakutosha hivyo kuonekana kama wachezaji wasio na kiwango sio fair.
Mna mechi tatu singida, Tz prisons na mbeya cityHadi wakati mwingine,ila nawakumbusha tu kuwa Yanga tuna mechi 2 tu nje ya Dsm,zote tupo hapo Kwa Ben tu
with poorest performance inclusive6 points on top of the table