FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Mayele leo ndio mchezaji aliyeikosesha Yanga ushindi mnono. Matukio yaliotokea leo kwa Mayele laiti kama angefanya Musonda, kelele za kuwa ni garasa zingekuwa nyingi
 
Back
Top Bottom