FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Utopolo Ni dhaifu mno. Wanakisanya points kwa kubahatisha bahatisha tu.

Hawa jamaa tuliwabugiza 4-0... tena wakiwa na Kocha mwanachama wa Uto
 
Kuna timu shirikisho itatiwa aibu Muda ni mwalimu mzuri.
 
Wachezaji wetu,fea plei ni muhimu,sijapenda kabisa......Azizi K......
 
Back
Top Bottom