FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 1-0 Ruvu Shooting: Uwanja wa Mkapa, 23/01/2023

Sure boy anaonekana hawezi kuendelea na mechi,amekaa chini mwenyewe tu
 
Wale wasema kweli nipeni abc ya first half,maana sijaangalia kabisa ila sekandi hafu nipo...........Sina points za kutetea timu yangu first hafu,naomba wale wapinzani mnipe abcd Scars OKW BOBAN SUNZU kama mmeona game 😀😀
1st half nimeondoka dakika ya 37 na mpaka saizi sijarudi

Ila mlikuwa mnashambulia sana na Ruvu walikuwa wanakaba sana pamoja na kujilinda
 
Kipindi Cha pili kimepoa but ushindi n muhimu kwetu wananchiiiiiiiiiiii
[emoji172][emoji169]
 
Back
Top Bottom