Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Master wa mikimbio vipi hajakutana na freekick?Wachezaji wetu,fea plei ni muhimu,sijapenda kabisa......Azizi K......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Master wa mikimbio vipi hajakutana na freekick?Wachezaji wetu,fea plei ni muhimu,sijapenda kabisa......Azizi K......
Hapa sasa unaanza mitusiMbumbumbu ili uelewe lazima upewe mifano ya timu yako ndiyo unaelewa vizuri zaidi
Muulize NabiYule yule wa mwanzo?
Vipi na hili tena Mayele hajaseti gwaride kwa ajili ya kutetema?
Tunasubilia hapa itokee 😀😀😀Master wa mikimbio vipi hajakutana na freekick?
Uto hawezi kuwa mamba.Usitukane mamba wakati hujavuka mto
Pamoja na kupoteza, lakini mikimbio si bado ipo?Aziz Ki Sasa wanapoteza Bure mipira
Kwamba mimi sina kifua cha kuitwa utopolo 😀Hapa sasa unaanza mitusi
Subiri tukupasue second leg akili ikukae sawaUto hawezi kuwa mamba.
😀😀Tunasubilia hapa itokee 😀😀😀
Kwa mbiindeDakika ya 87
Manula anamjua vizuri lakiniDomokaya
Hapa vita ni points 3✔️Kwa mbiinde
AlioteaManula anamjua vizuri lakini
Kama kuotea ni rahisi sana,basi hata Kibu Denis angekuwa anaotea 😀Aliotea