Si mmepooa kama ujiiiNikajua ni mkia maana ndio Huwa mnawashwa sana kuanzisha nyuzi [emoji23][emoji23]
Nabi kauza mechi. Kiungo cha mudathir+ sureboy hakina maajabu, paka dak hii ya 25 creativity hakuna zaidi ya back pass tuHii ngoma naiona droo leo hii..
Nikikumbuka hii Huwa nacheka sana[emoji23][emoji23]Yule mzambia hata off target hana, wanajifichia kwenye mikimbio. Mikimbio kwani yeye ni bata?!
Una ujasiri sana bila shaka, mpaka ukafikia kuandika hivi.Yanga ana Pigwa...
Wazee wa kubeti.. Mkeka uta tiki
Kwa hiyo nikusaidie niniNikikumbuka hii Huwa nacheka sana[emoji23][emoji23]View attachment 2493134
watu wamejipeleka kiblaKwa hiyo nikusaidie nini
Lete tena Takwimu zako, kamba moja tayari huko.Yule mzambia hata off target hana, wanajifichia kwenye mikimbio. Mikimbio kwani yeye ni bata?!
Una gubu si la kawaida, stress zako zote huwa unakuja kuzimalizia hapa kwa kujifichia kwenye utani.Nikikumbuka hii Huwa nacheka sana[emoji23][emoji23]View attachment 2493134
kweli ruvu anazuia vizuri kulilo sisiMbona hamsemi kuwa Ruvu wanacheza vizuri kuliko nyinyi?
Hili nalo la kulifanya siri?
Unaonaje ukileta wewe hizo takwimu?Lete tena Takwimu zako, kamba moja tayari huko.