Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Sasa mpitwe point 20 iyo inakuwa sio ligi tena ni NetbollNataka mtupite point 20 hivi hahahahahah
Simba ni noumaaa majamaaa yanafunga hayanyimani chanceNaona Yanga hadi dakika ya mwisho wanamtafutia goli Mayele maana wakifiria kuna njemba kama 5 toka Msimbazi zinakuja kwa kasi, wengine wamesajiliwa juzi tu.
AhahhaahhSasa mpitwe point 20 iyo inakuwa sio ligi tena ni Netboll
Wewe kwa akili yako unafikiria ivyo lakini wenzako wanafikiria hatua kumi mbele ya unachokifikiria, Mayele kuchukua kiatu sio big issue tena atachukua mpende msipende but timu inaangalia zaidi kupata matokeo ya point 3 muhimu ili kubeba ubingwa kwakuwa akunaga ubingwa wa mfungaji bora ukae ukilijua hiloNaona Yanga hadi dakika ya mwisho wanamtafutia goli Mayele maana wakifiria kuna njemba kama 5 toka Msimbazi zinakuja kwa kasi, wengine wamesajiliwa juzi tu.
Lakini hao hao juzi mkutano mkuu iligeuka ajenda kuwa kwanini wewe fulani haujawafunga yanga ?Ebu acheni utani soka safi mtakua nyinyi bana?
Nyie kachezeni Florentina awapige jeki mwisho wa mechi tuwasikie mkisema muhimu point 3
Wakati ligi ina anza hizo njemba zilikua wapiNaona Yanga hadi dakika ya mwisho wanamtafutia goli Mayele maana wakifiria kuna njemba kama 5 toka Msimbazi zinakuja kwa kasi, wengine wamesajiliwa juzi tu.
GSM haikwepeki ni kama kifoNamungo wafadhili wake ni GSM na SportPesa
Pole sana mwana Simba mwenzangu Hawa Yanga wanatuvuruga sanaIla ubingwa kama mtaupata ni kwa mbindeee maana tunachochea moto huku nyuma yenu sio kwa joto mnalopata
Leo Musonda anatafuta bao kwa udi na uvumba asije akamaliza ligi bila kufungaSimba ni noumaaa majamaaa yanafunga hayanyimani chance
Mtu wenu wa graphics hana tofauti sana na mwanasheria wenuGSM haikwepeki ni kama kifoView attachment 2506382
Phiri hajacheza zaidi ya miezi miwili, akirudi akicheza game mbili tu anamuacha Mayele. Mna bahati tumewaachia Mayele apambane na wachezaji wapya kina Baleke.Wakati ligi ina anza hizo njemba zilikua wapi
[emoji6]Yanga leo afungwe na namungo tukija kukutana nao tunawafunga tunakuwa tunalingana points tunachukua ubingwa kwa tofauti ya magoli[emoji16][emoji16]
Eeh MUNGU wasamehe makolo hawajui watendalo
Phiri alivyokuwa ameumia alimuacha Mayele magoli mangapi?Phiri hajacheza zaidi ya miezi miwili, akirudi akicheza game mbili tu anamuacha Mayele. Mna bahati tumewaachia Mayele apambane na wachezaji wapya kina Baleke.
Wewe kwa akili yako unadhani Mayele hakuwa anazifikiria njemba 5 zinazokuja kwa kasi wakati analisaka goli dakika 3 za nyongeza wakati mko mbele kwa goli 2?Wewe kwa akili yako unafikiria ivyo lakini wenzako wanafikiria hatua kumi mbele ya unachokifikiria, Mayele kuchukua kiatu sio big issue tena atachukua mpende msipende but timu inaangalia zaidi kupata matokeo ya point 3 muhimu ili kubeba ubingwa kwakuwa akunaga ubingwa wa mfungaji bora ukae ukilijua hilo
Walikuwa shingo kwa shingo. Kwanza nimeshasahau, hivi Mayele ana goli ngapi ukijumuisha na zile alizopewa mpira na kipa?Phiri alivyokuwa ameumia alimuacha Mayele magoli mangapi?
Kwaiyo mpira ulikuwa autembei ulikuwa unapaa? Wewe mechi umeangalia ya kwako peke yako auWewe kwa akili yako unadhani Mayele hakuwa anazifikiria njemba 5 zinazokuja kwa kasi wakati analisaka goli dakika 3 za nyongeza wakati mko mbele kwa goli 2?
Kwa nini msingetulia kama Simba jana dakika za mwisho mkawa tu mnatembeza mpira?
Tumevitandika kisha nasisi tumevituma wakamlete aliyewatumaKolo katuma vitoto kuja kumlipia kisasi. Hivi vitoto vimecheza kwa kukamia sana.
Tulizeni mpira mmeshashinda bana, pigeni danadana, eeehKwaiyo mpira ulikuwa autembei ulikuwa unapaa? Wewe mechi umeangalia ya kwako peke yako au