FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Naona Yanga hadi dakika ya mwisho wanamtafutia goli Mayele maana wakifiria kuna njemba kama 5 toka Msimbazi zinakuja kwa kasi, wengine wamesajiliwa juzi tu.
Simba ni noumaaa majamaaa yanafunga hayanyimani chance
 
Naona Yanga hadi dakika ya mwisho wanamtafutia goli Mayele maana wakifiria kuna njemba kama 5 toka Msimbazi zinakuja kwa kasi, wengine wamesajiliwa juzi tu.
Wewe kwa akili yako unafikiria ivyo lakini wenzako wanafikiria hatua kumi mbele ya unachokifikiria, Mayele kuchukua kiatu sio big issue tena atachukua mpende msipende but timu inaangalia zaidi kupata matokeo ya point 3 muhimu ili kubeba ubingwa kwakuwa akunaga ubingwa wa mfungaji bora ukae ukilijua hilo
 
Makolo wanaangalia mechi ya wananchi full kulalamika mwanzo mwisho,hawana utulivu,.Mara hoo,yanga shirikisho atacheza nini.Hata kumaliza mechi wameshindwa,wamekimbia wakarudi tena ,Kisha wakakimbia jumla.Watafikiri Wana mdondo ama kideli.
 
Namungo wafadhili wake ni GSM na SportPesa
GSM haikwepeki ni kama kifo
1675024479292.jpg
 
Phiri hajacheza zaidi ya miezi miwili, akirudi akicheza game mbili tu anamuacha Mayele. Mna bahati tumewaachia Mayele apambane na wachezaji wapya kina Baleke.
Phiri alivyokuwa ameumia alimuacha Mayele magoli mangapi?
 
Wewe kwa akili yako unafikiria ivyo lakini wenzako wanafikiria hatua kumi mbele ya unachokifikiria, Mayele kuchukua kiatu sio big issue tena atachukua mpende msipende but timu inaangalia zaidi kupata matokeo ya point 3 muhimu ili kubeba ubingwa kwakuwa akunaga ubingwa wa mfungaji bora ukae ukilijua hilo
Wewe kwa akili yako unadhani Mayele hakuwa anazifikiria njemba 5 zinazokuja kwa kasi wakati analisaka goli dakika 3 za nyongeza wakati mko mbele kwa goli 2?

Kwa nini msingetulia kama Simba jana dakika za mwisho mkawa tu mnatembeza mpira?
 
Kwaiyo mpira ulikuwa autembei ulikuwa unapaa? Wewe mechi umeangalia ya kwako peke yako au
 
Back
Top Bottom