FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Weka link ya youtube hapa, baada ya matangazo kurudi azam walirudia lile tukio wakati Baleke anafanyiwa Sub
 
Nikupe takwimu ipi? Wewe uliyesema Musonda ni Kombole ndio ulete takwimu nafasi katengenezewa akakosa? Wewe si ndiye uliye muhukumu. Hakimu toa takwimu binafsi siwezi kumuhukumu kwasababu sijaona clear chances alizotengenezewa kwenye mechi za ligi
Kafunga goli ngapi premier league hyo msondo ngoma

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Phiri hajacheza zaidi ya miezi miwili, akirudi akicheza game mbili tu anamuacha Mayele. Mna bahati tumewaachia Mayele apambane na wachezaji wapya kina Baleke.
Hao wachezaji wenu inabidi washikane wawili wawili ndo watampita Mayele.
 
Mbona swali unaloulizwa haujibu kwa nafasi zipi alizopata. Au mpira haujui ndio wale mashabiki oya oya
Kwani ww huwa akicheza humuangalii kiufupi wale muloko na msondo ngoma hawana akili za mpira yaani wanakosa composure kwenye eneo la mwisho yaani unamtetea msondo ngoma tushazoea maana hata kambole pia mlimtetea hivi hivi mwisho mkamfanya msekule sijui mumempeleka wapi sasa hivi

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Msondo Ngoma kafanya Mikimbio Mingapi Leo..?


Nijibuni tu...Sio Kwa Ubaya!!
 
Msondo Ngoma kafanya Mikimbio Mingapi Leo..?


Nijibuni tu...Sio Kwa Ubaya!!
Hamna mtu pale uzuri mashabiki wa yanga mi nishawazoea hata yule kambale wao na EPL boy walisema wapewe mda watakiwasha mwisho wa siku hata sijui wako wapi yule mmoja alikuwa msekule pale avic town walipoona ni bomu wakasingizia kaumia mazoezini kumbe hamna lolote walisema mayele hamuwezi kambole wala msondo ngoma

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Timu ya mchezaji mmoja, yupi huyo?
Chama, mimi kwenye timu yako nikimtoa huyu nimemaliza biashara.Sababu timu imejengwa kupitia yy na ndio maana chance na build up za magoli zinaanzia kwake.

Japo huyu kocha kama anataka kubadilisha muundo wa timu na ndio maana chini ya huyu Kocha hata ile identity yenu kampa kampa tena mmeanza kuipoteza.Ila atapata tabu sana kwa sasa labda baadae akishaanza kusajili watu wake.
 
Mtangazaji hakumsifu mshika kibendera.

Anza kuanzia 18:50
Sheria ya offside unaijua kwanza maana isijekuwa naanza na upya kufundisha sheria. Embu angalia wakati Azam wameugandisha huo mpira ndio mahala paku judge mchezaji yupo kwenye position ipi kama ni onside au ni offside. Hapo ambapo Azam wamegandisha inamaana mpigaji wa mpira anapiga mpira kwenda kwa Baleke. Ambaye kwa nafasi aliyokuwepo aikuwa kazidi. Mbona ni clear kabisa haina mgogoro. Ngoja nikuitie Simba wenzako wakuelimishe zaidi Scars mpe darasa ndugu yako.
 
Mimi ni mmoja wa watu ninaotaka Simba wacheze mpira wa kasi zaidi ya wanaocheza sasa. Simba ingepata kama Sakho watatu hivi pale mbele kwisha kazi. Ndiyo maana kila Sakho akifunga goli Robertinho anashangilia kama mwehu.

Baleke akiongezewa kasi na Phiri akirudi, oya kuna watu watakuwa hawaleti timu uwanjani.
 
Mpira hujui, mchezaji ana hukumiwa kwa nafasi alizokosa. Musonda kwenye ligi mechi alizocheza dakika tisini simlaumu. Mechi yake kabla ya leo kampa pasi murua kabisa Mayele. Mayele yeye na kipa kakosa. Leo pia huyo huyo Musonda kapiga shuti kipa kaupangua mpira umemfikia Mayele lakini yeye na kipa kakosa. Acha mihemko
 
Sijui kweli ila yule kambole alikuwa bonge la striker toka aondoke yanga inapata tabu kwenye ufungaji na yule bigirimana pengo lake linaonekana pale kati ila msondo ngoma mtu kumbe ndio kafanya yote hayo ngoja kuanzia sasa nimfuatilie msondo ngoma.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Bado mechi 6 tuwe mabingwa nyie endeleeni kujifariji
 
Kama timu ya yanga ndiyo hii iliyokata pumzi kwa namungo leo, kwa monastri watapigwa hamsa hamsa na sijui wataangukia ligi ipi tena huko caf
Nyie ndo mlikuwa mnasema Yanga atapigwa na waarabu Tunisia kisha aondolewe kabisa kwenye michuano ya CAF, mkaishia na aibu. Sasa hivi mmeona mhamishe magoli kwengine.

Listen, we believe in our team. It has nothing to prove to you maana hamna jema lolote utakaloona hata ifanyaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…