FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Sheria ya offside unaijua kwanza maana isijekuwa naanza na upya kufundisha sheria. Embu angalia wakati Azam wameugandisha huo mpira ndio mahala paku judge mchezaji yupo kwenye position ipi kama ni onside au ni offside. Hapo ambapo Azam wamegandisha inamaana mpigaji wa mpira anapiga mpira kwenda kwa Baleke. Ambaye kwa nafasi aliyokuwepo aikuwa kazidi. Mbona ni clear kabisa haina mgogoro. Ngoja nikuitie Simba wenzako wakuelimishe zaidi Scars mpe darasa ndugu yako.
Kawaida kwneye situation nyingi wangekuwa sahihi ila hapa Linesman na AZAM hawakuwa sahihi.

Hapa inabidi urudi nyuma wakati Zimbwe anapokea mpira, nani alikuwa nyuma au mbele yake ili akisogea na mpira mbele atakapotoa pasi ndiyo ujudge kama ni offside. Zimbwe na Baleke walikuwa same position wakati anapokea mpira na hawakuwa offside hivyo mbele hawa aawili wakipasiana mpira hawawezi kuwa offside.

Zimbwe angempa mpira nadhani ni Sakho huyu aliye kulia huku ndiyo ingekuwa offside.

Hapo ingetumia VAR hilo ni goli ila namsamehe kwa jicho la binadamu unaweza kufanya maamuzi hayo waliyofanya.

20230204_232217.jpg
 
View attachment 2506503
Mkuu iyo ni sheria mpya ya offside au ni maoni Yako? Hii kweli ndio bongo nyoso
 
Mimi ni mmoja wa watu ninaotaka Simba wacheze mpira wa kasi zaidi ya wanaocheza sasa. Simba ingepata kama Sakho watatu hivi pale mbele kwisha kazi. Ndiyo maana kila Sakho akifunga goli Robertinho anashangilia kama mwehu.

Baleke akiongezewa kasi na Phiri akirudi, oya kuna watu watakuwa hawaleti timu uwanjani.
Sasa hao watakimbia vipi bila kulishwa speed wata itolea wapi.

Moja wachezaji ambao wa kawaida ni Sakho utoto mwingi anapoteza sana mipira.Labda Phiri jamaa anacheza direct vitu ball hana mambo mengi.

Ila yote kwa yote Simba inabidi mumlinde Chama kwa hali yoyote sababu yeye ndio brain ya timu.
 
Mkuu iyo ni sheria mpya ya offside au ni maoni Yako? Hii kweli ndio bongo nyoso
Tuweke kilo tumtafute professional referee aangalie tena huu uamuzi uone watasemaje.

Utanifanya nitafute website online niwatumie hii video.
 
Sasa hao watakimbia vipi bila kulishwa speed wata itolea wapi.

Moja wachezaji ambao wa kawaida ni Sakho utoto mwingi anapoteza sana mipira.Labda Phiri jamaa anacheza direct vitu ball hana mambo mengi.

Ila yote kwa yote Simba inabidi mumlinde Chama kwa hali yoyote sababu yeye ndio brain ya timu.
Chama amebakiza msimu mmoja tu kama starter pale Simba. Sakho ni Chama aliyechangamka ndiyo maana anapenda kufunga magoli matamu.
 
Duu yaani Chama unamfanaisha na Sakho upo serious kweli brother.
Wote wawili wanapenda kucheza mpira wa kushangiliwa, utundu mwingi ndiyo maana nimekwambia hao wanafanana kwa maana hiyo. Sakho hana utulivu wa Chama maana yeye nature yake ni mpira wa kasi ila akiwa analitafuta goli mentality yake ni hiyo kuhakikisha anafunga goli kubwa.
 
Chama time hiyo hana na style yao hawafanini hata kidogo. Sakho ni kama Kibu aliye changamka.
 
Chama time hiyo hana na style yao hawafanini hata kidogo. Sakho ni kama Kibu aliye changamka.
Ndiyo nakwambia sasa. Mentality yao ni moja wanazidiana speed tu na Sakho anacheza mpira wa kwenda mbele. Kibu tumuache kwanza 🤣😂🤣
 
Tatizo unaongoza kwa maigizo siyo soka.
Majibu yapo kule ambapo huwezi kufanya maigizo uhalisia wako unaonekana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Uhalisia upi wewe 'Aden Rage so called?' Sio nyie mliokuwa mnadhani na kutegemea kuwa Yanga itatolewa kwenye michuano ya CAF na Club Africain kule Tunisia?? Mwishowe ilikuwaje?? Hamkuishia kuabika? Ulishawahi kumfunga mwarabu ndani ya dakika 90 akiwa kwake maisha yako yote hapa duniani? Leo hii mbona tupo makundi ya CAF confederation? Hayo maigizo waliyashindwa waarabu wakatutoa kabisa tukabaki kwenye league?

Ukishinda wewe unajiona unastahili ila wakishinda wengine ni maigizo. Wahed! Ulipochukua ubingwa mfululizo ulijiona mwenye uwezo, ila wengine wakifanya the same unakuwa busy kutafuta faults badala ya kuadmit kuwa umezidiwa. Ulikuwa wapi ukapitwa points sita? Ulikuwa wapi kumfunga Yanga wewe unayejiona bora ukapunguza points zote ulizoachwa? Au hukukutana na Yanga?

Vipi kwenye ngao ya jamii na mechi ya kwanza ya ligi? Au na wewe ulihongwa? Mbona hukumfunga Yanga mpaka mwenyekiti wenu bwana Mangungu anaomba kura kwa kuwaahidi kuwa ataifunga Yanga na wanachama wakapiga makofi kusheherekea?

Pathetic!

Hiyo simu unayotumia inaendana na akili yako.
 
Kawaida kwneye situation nyingi wangekuwa sahihi ila hapa Linesman na AZAM hawakuwa sahihi.

Hapa inabidi urudi nyuma wakati Zimbwe anapokea mpira, nani alikuwa nyuma au mbele yake ili akisogea na mpira mbele atakapotoa pasi ndiyo ujudge kama ni offside. Zimbwe na Baleke walikuwa same position wakati anapokea mpira na hawakuwa offside hivyo mbele hawa aawili wakipasiana mpira hawawezi kuwa offside.

Zimbwe angempa mpira nadhani ni Sakho huyu aliye kulia huku ndiyo ingekuwa offside.

Hapo ingetumia VAR hilo ni goli ila namsamehe kwa jicho la binadamu unaweza kufanya maamuzi hayo waliyofanya.

View attachment 2506503
Bado mweupe sana kwenye sheria ya offside. Hapo huo mpira ungeenda moja kwa moja kwa Baleke ingekuwa sio offside kwasababu hakuwa kwenye offside position wakati anapewa mpira. Ila amekuja kuupokea mpira badae, wakati yupo kwnye offside side. Embu ingia chimbo ujielimishe kwanza. Inaonekana hata mechi za ulaya ufatiliagi.
Offside inaamliwa wakati mcheza anapokea mpira yupo kwenye position ipi sio wanarudi nyuma kuangalia hapana bali at the moment una receive mpira upo kwenye position ipi ni onside au offside position. Wakati Baleke ana receive mpira alikuwa kwenye offside position. Uwe unafatilia mpira na kuupenda mpira utajua na sheria zake usiishie kwenye NBC pekee
Mwanasimba Mwanamaji
 
Hivi macho yenu yanaoa ninachokiona, jezi kwa mbali kwenye tivi zinatofautiana soksi tu juu wanafanana
Hili nililiona nikawaambia wakurungwa, kuna haja ya Pre-match meetings kuzingatia maslahi ya mashabiki wasiokwenda uwanjani.
 
Back
Top Bottom