SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kawaida kwneye situation nyingi wangekuwa sahihi ila hapa Linesman na AZAM hawakuwa sahihi.Sheria ya offside unaijua kwanza maana isijekuwa naanza na upya kufundisha sheria. Embu angalia wakati Azam wameugandisha huo mpira ndio mahala paku judge mchezaji yupo kwenye position ipi kama ni onside au ni offside. Hapo ambapo Azam wamegandisha inamaana mpigaji wa mpira anapiga mpira kwenda kwa Baleke. Ambaye kwa nafasi aliyokuwepo aikuwa kazidi. Mbona ni clear kabisa haina mgogoro. Ngoja nikuitie Simba wenzako wakuelimishe zaidi Scars mpe darasa ndugu yako.
Hapa inabidi urudi nyuma wakati Zimbwe anapokea mpira, nani alikuwa nyuma au mbele yake ili akisogea na mpira mbele atakapotoa pasi ndiyo ujudge kama ni offside. Zimbwe na Baleke walikuwa same position wakati anapokea mpira na hawakuwa offside hivyo mbele hawa aawili wakipasiana mpira hawawezi kuwa offside.
Zimbwe angempa mpira nadhani ni Sakho huyu aliye kulia huku ndiyo ingekuwa offside.
Hapo ingetumia VAR hilo ni goli ila namsamehe kwa jicho la binadamu unaweza kufanya maamuzi hayo waliyofanya.