Kawaida kwneye situation nyingi wangekuwa sahihi ila hapa Linesman na AZAM hawakuwa sahihi.
Hapa inabidi urudi nyuma wakati Zimbwe anapokea mpira, nani alikuwa nyuma au mbele yake ili akisogea na mpira mbele atakapotoa pasi ndiyo ujudge kama ni offside. Zimbwe na Baleke walikuwa same position wakati anapokea mpira na hawakuwa offside hivyo mbele hawa aawili wakipasiana mpira hawawezi kuwa offside.
Zimbwe angempa mpira nadhani ni Sakho huyu aliye kulia huku ndiyo ingekuwa offside.
Hapo ingetumia VAR hilo ni goli ila namsamehe kwa jicho la binadamu unaweza kufanya maamuzi hayo waliyofanya.
View attachment 2506503