FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Da!!!
Nachowashauri Wana Yanga wenzangu tuandae tu pesa za kusherehekea ubingwa na siku yetu kubwa kabisa SIKU YA WANANCHI maana sioni dalili ya timu yeyote kutuzuia....
Wale wengine acha washangilie goli wakati sisi tukishangalie ubingwa...
NB. Bado gemu 6 tutangazwe rasmi mabingwa wapya wa NBC premier league 2022/2023
[emoji172][emoji169]
 
Wananchi [emoji617] huwa wanafeli hapo tu. Kwenye mambo kama haya Simba mmetuzidi, yaani hata kuanzisha hizi nyuzi za live updates wakati mwingine Huwa mnatuanzishia kutokana na ubaridi wetu[emoji23][emoji23]
Wengi watu wazima wana kazi za kufanya kulisha familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…