No... Kibu si wa kulinganishwa na hicho kijamaa kinachocheza kombe la shirikishoDah Moloko ni Kibu Denis wa kikongo
Nipo uwanjani kwa Mkapa naona zipo tofauti kabisaHivi macho yenu yanaoa ninachokiona, jezi kwa mbali kwenye tivi zinatofautiana soksi tu juu wanafanana
Piga utopolo hao
Nilikuwa nakukumbusha tu mapema kufuta haya maandishi yako, ili kuepusha usumbufu usio wa lazima hapo baadaye.Utopolo leo lzm mpate joto ya jiwe
Penalty ya wazi kabisa, kameza filimbi.Refa ni kolo
Ilo lipo wazi. Huyu mama ndio aliwapaga penati ya mchongo Ile droo ya 2-2 goli murua la Mapinduzi Balama manula akalamba nyasiRefa ni kolo
Tutakutoa kafara hata wewe ikihitajika.Kuna siku Uto itazika mtu akiwa mzima pale Taifa. Sio kwa kuwanga huko
Mwisho wao kubeba ubingwa wa ligi.Team Imepoteana Bado Wanahaha Na Mkataba Wa Kifuani Sijui Mwisho Wao Ni Upi
Wenye akili wawili tu hukoTulia wewe unayewashwa na mambo ya wengine. Mbumbu.
Heri wawili. Kwenu ni mambumbu from top to bottom kwa mujibu wa Aden Rage.Wenye akili wawili tu huko
Kama ushakubali kuwa ni wawili tu wenye akili hapo sawa. Sasa niambie kama ww siyo kikwete au Sunday Manara, then huna akili so tulia uto.Heri wawili. Kwenu ni mambumbu from top to bottom kwa mujibu wa Aden Rage.
Yani hamna mwenye akili hata mmoja wa kuwaongoza.