FT: Ligi Kuu: Yanga S.C 2-0 Namungo F.C: Uwanja wa Mkapa, 04/02/2023

Utoooooo
Mmejitahidi leo mmefunga mabao yenu sio ya kufungiwa na timu mnayocheza nayo
 
Ila ubingwa kama mtaupata ni kwa mbindeee maana tunachochea moto huku nyuma yenu sio kwa joto mnalopata
 
Dah... Musonda holaaaa kwa mara nyingine. Kibu bora kuliko
Kapata clear chances ngapi? Jana mshambuliaji wenu yeye na kipa tu kakosa goli hadi kajistukia mwenyewe kwa boko alilotoa na kuishia kujipigisha magoti kutia huruma kwa mashabiki. Mshambuliaji anahukumiwa na idadi za nafasi za wazi anazoshindwa kuzibadilisha kuwa magoli
 
Ila ubingwa kama mtaupata ni kwa mbindeee maana tunachochea moto huku nyuma yenu sio kwa joto mnalopata
Endeleeni kuchochea moto ila mkumbuke Yanga ana mechi mbili tu za nje ya Dar es salaam, na pia anahitaji ushindi wa mechi sita tu zinazofuata.
 
Naona Yanga hadi dakika ya mwisho wanamtafutia goli Mayele maana wakifiria kuna njemba kama 5 toka Msimbazi zinakuja kwa kasi, wengine wamesajiliwa juzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…