ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Zimebaki mechi 4 tuwe mabingwa nyie endeleeni na malalamikoDah... Musonda holaaaa kwa mara nyingine. Kibu bora kuliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimebaki mechi 4 tuwe mabingwa nyie endeleeni na malalamikoDah... Musonda holaaaa kwa mara nyingine. Kibu bora kuliko
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji238][emoji238]Alafu kuna mbuzi ikasema Aziz Ki tumepigwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu unakuta mtu kama huyo ni baba kabisa wa familia.
Wanahakati wa kutetea haki za Feisal na SportpesaMbumbumbu akili zao wanazijua wenyewe tu, wameshupaza shingo na kutoa macho wakitegemea yanga adondoshe point, gape la point 6 litaendelea kuwepo mpaka mwisho wa ligi endeleeni kujifariji
Mkuu ongeza points tatu ziwe tisa, hao Wana points zetu tatu makoloMbumbumbu akili zao wanazijua wenyewe tu, wameshupaza shingo na kutoa macho wakitegemea yanga adondoshe point, gape la point 6 litaendelea kuwepo mpaka mwisho wa ligi endeleeni kujifariji
Kapata clear chances ngapi? Jana mshambuliaji wenu yeye na kipa tu kakosa goli hadi kajistukia mwenyewe kwa boko alilotoa na kuishia kujipigisha magoti kutia huruma kwa mashabiki. Mshambuliaji anahukumiwa na idadi za nafasi za wazi anazoshindwa kuzibadilisha kuwa magoliDah... Musonda holaaaa kwa mara nyingine. Kibu bora kuliko
Endeleeni kuchochea moto ila mkumbuke Yanga ana mechi mbili tu za nje ya Dar es salaam, na pia anahitaji ushindi wa mechi sita tu zinazofuata.Ila ubingwa kama mtaupata ni kwa mbindeee maana tunachochea moto huku nyuma yenu sio kwa joto mnalopata
Unaujua ubingwa unaopatikana kwa mbinde? Umepitwa points 6 unajifariji ubingwa kwa mbinde!Ila ubingwa kama mtaupata ni kwa mbindeee maana tunachochea moto huku nyuma yenu sio kwa joto mnalopata
Nataka mtupite point 20 hivi hahahahahahUnaujua ubingwa unaopatikana kwa mbinde? Umepitwa points 6 unajifariji ubingwa kwa mbinde!
Endelea kuchochea sisi tunaendelea kuchukua ubingwa.Ila ubingwa kama mtaupata ni kwa mbindeee maana tunachochea moto huku nyuma yenu sio kwa joto mnalopata
Na mwishowe tumevilaza 2-0 vikasimulie kaka zao[emoji1][emoji1]Kolo katuma vitoto kuja kumlipia kisasi. Hivi vitoto vimecheza kwa kukamia sana.
Namungo wafadhili wake ni GSM na SportPesaKolo katuma vitoto kuja kumlipia kisasi. Hivi vitoto vimecheza kwa kukamia sana.