joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Huyu Musonda naona mechi ijayo acheze namba saba ,Moloko atusubiri kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu niliitegemeaAziz kiii anaweka goli la pili[emoji460][emoji460] baada ya makosa ya kolikipa wa Namungo
Mkuu bila shaka Hawa Simba b wamepokwa bahasha za Yanga[emoji23][emoji23]Hii kitu niliitegemea
Labda watuzidi mechi wawe na viporo 3 ndio wataongoza ligiSasa makolo ni lini mtaongoza ligi msimu huu?
Mbona ka mnajiongelesha kujaza replies?Kafungwa Namungo ila wenye maumivu makali ni makolo
Ila mkicomment nyie makolo sio kujiongelesha?Mbona ka mnajiongelesha kujaza replies?
Musonda na Kibu nani kacheza mechi nyingi za ligi bila kufunga?Dah... Musonda holaaaa kwa mara nyingine. Kibu bora kuliko
Ndio mlivyobakisha kujifarijiDah... Musonda holaaaa kwa mara nyingine. Kibu bora kuliko
Hawajui kucheza na keyboard, ni washamba tu 😂😂Kwanini Mechi za Yanga Uzi huwa Unapoa Sanaaa??
Dah? kila kitu kwenu ni maumivu! haya nendeni mka chambue mikataba sasaMbona ka mnajiongelesha kujaza replies?
Umeua mtu mkuu 😀Kama ushakubali kuwa ni wawili tu wenye akili hapo sawa. Sasa niambie kama ww siyo kikwete au Sunday Manara, then huna akili so tulia uto.
Mkuu hata Kwa hili nalo pia unateseka[emoji848] Utakuwa ni miongoni mwa watu wanaopitia kipindi kigumu sana[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ka mnajiongelesha kujaza replies?