Haya kwa wale wapenzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya leo kwa upekee kabisa tunawaletea kitakachojiri live wakati wa mchezo huo.
Mchezo huu wa mwisho kabisa wa hatua ya Makundi unabeba hisia nyingi za wapenzi wa soka kutokana na uhitaji wa ushindi kwa Timu ya Man United ili aendelee kubaki kwenye michuano ya Ulaya kwa msimu huu.
Je Man United watafua dafu mbele ya Bayern
Kikosi cha Man United kinachoanza
Kikosi cha Bayern kinachoanza