FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

supatolu

Senior Member
Joined
Aug 7, 2022
Posts
140
Reaction score
189
Nusu fainali ya kwanza...

1704829074148.png

Mabingwa watetezi Mlandege FC wametinga fainali ya Mapinduzi Cup baada ya kuitoa APR kwa mikwaju ya penati.

FT: Mlandege FC 0-0 APR FC (Pen: 4-2)
 
Bonge moja la mechi hili. Nafuatilia kwa makini. Nawatakia APR ushindi
 
Match nzuri sana Yanga na Simba zinashindwa wapi team ndogo ya mlandege wanavalishwa na Nike kwenye hii game tena nimefatilia jersey zao naona wameshawahi valishwa na Adidas
final.jpg
 
Ngapi ngapi huko, wengine tupo gizani TV zimezimika hamna umeme so hatujui matokeo
 
Hizi offside za marefa wa zanzibar kama vile zipo tofauti au mm ndo ufahamu mdogo kuhusu offside.

Kibendera ananyanyua hata kabla mpira haujaelekezwa kwa anayeonekana yupo offside.

Yaani mpira upo katikati kwenye move kibendera kanyanyua bendera kuna mtu kaotea kabla hata huyo mtu hajapigiwa mpira.
 
Back
Top Bottom