FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

Mpaka sasa penati 3 kwa APR wanapata 1 wanakosa 2 huku mlandege wamepata zote 3

Wakipata hiii mlandege wanamaliza jusaaaaa aaha anakosa
 
Sulehe sanda kambaaaaa bonge penati
 
Zamu ya Mlandege Gariwangooooo goal Mlandege wanaingia fainali kwa miaka miwili Mfululizo.
 
Match nzuri sana Yanga na Simba zinashindwa wapi team ndogo ya mlandege wanavalishwa na Nike kwenye hii game tena nimefatilia jersey zao naona wameshawahi valishwa na Adidas View attachment 2866644
Unauhakika kuwa wanabalishwa na Nike?

Au kwakua umeona wanavaa jezi zenye nembo ya Nike ndio umefikiria hivyo?
 
Hizi offside za marefa wa zanzibar kama vile zipo tofauti au mm ndo ufahamu mdogo kuhusu offside.

Kibendera ananyanyua hata kabla mpira haujaelekezwa kwa anayeonekana yupo offside.

Yaani mpira upo katikati kwenye move kibendera kanyanyua bendera kuna mtu kaotea kabla hata huyo mtu hajapigiwa mpira.
Hakuna marefa hapo
 
Back
Top Bottom