Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kumbe Yanga ndio walikua wanatujazia server
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamaubiria singidaZamu ya Mlandege Gariwangooooo goal Mlandege wanaingia fainali kwa miaka miwili Mfululizo.
Oh hongera zao,lakini game kiujumla ilikuaje?Zamu ya Mlandege Gariwangooooo goal Mlandege wanaingia fainali kwa miaka miwili Mfululizo.
Kwani singida ashamtoa simba au?Wanamaubiria singida
APR wamecheza mpira mkubwa sana kwa mtazamo wangu uzalendo kwa marefa ulipitiliza kwa offside zisizo na mashiko.Oh hongera zao,lakini game kiujumla ilikuaje?
Endelea kuota MkuuWanamaubiria singida
Naona azam wamekatisha baada ya lawama kutoka live kwa marefa. Azam ni wapuuzi tu.APR wamecheza mpira mkubwa sana kwa mtazamo wangu uzalendo kwa marefa ulipitiliza kwa offside zisizo na mashiko.
Unauhakika kuwa wanabalishwa na Nike?Match nzuri sana Yanga na Simba zinashindwa wapi team ndogo ya mlandege wanavalishwa na Nike kwenye hii game tena nimefatilia jersey zao naona wameshawahi valishwa na Adidas View attachment 2866644
Hawa wajinga ndio wanaoharibu michezo kwa mambo ya ubaguzi kisa unyumbaniAPR wamecheza mpira mkubwa sana kwa mtazamo wangu uzalendo kwa marefa ulipitiliza kwa offside zisizo na mashiko.
Hakuna marefa hapoHizi offside za marefa wa zanzibar kama vile zipo tofauti au mm ndo ufahamu mdogo kuhusu offside.
Kibendera ananyanyua hata kabla mpira haujaelekezwa kwa anayeonekana yupo offside.
Yaani mpira upo katikati kwenye move kibendera kanyanyua bendera kuna mtu kaotea kabla hata huyo mtu hajapigiwa mpira.
APR wameonewa sana kama Singida walivyoonewa final ya mwaka jana.APR wamecheza mpira mkubwa sana kwa mtazamo wangu uzalendo kwa marefa ulipitiliza kwa offside zisizo na mashiko.
Kiashiria cha uwepo wa vinasaba vya Uto FC kwenye matamanioWanamaubiria singida