FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

Wakati Kona inapigwa Kuna APR mmoja alikuwa offside akawa anaivunja anarudi on side,Kona ilivyopigwa hyo mchezaji aliruka amoja na Shiboob ingawa hakucheza mpira lakin aliingilia mchezo
 
Sema binafsi nilitarajia hii figisu
Mapinduzi huwa ni kombe la maelekezo sana ngoja tuone kesho itakuwaje ila nadhani maelekezo yataendelea
Singida ana wakati mgumu kucheza na lines men na refa na Simba
 
Kiujumla msimu ujao timu zikialikwa zikatae kuja kama mambo yenyewe ndio haya ya Leo
 
Wakati Kona inapigwa Kuna APR mmoja alikuwa offside akawa anaivunja anarudi on side,Kona ilivyopigwa hyo mchezaji aliruka amoja na Shiboob ingawa hakucheza mpira lakin aliingilia mchezo
Safi sana we umeangalia mpira ,wengi hawajaona au kuzingatia hili kosa ila line alikuwa sahihi kabisa sababu jamaa hadi karuka mbele Shiboub
 
Inaleta hasira sana APR Hawakustahili kutendewa hivyo kwa maana wameleta ushindani sana na kunogesha hilo bonanza
Na kesho Singida wakiifunga Simba hapo tayari kombe ni kwa mlandege tena, kwa Simba nahisi wataogopa kuonyesha upendeleo wao kwa mlandege kwa sababu mchezo utakuwa unafatiliwa na wengi.
 
Wakati Kona inapigwa Kuna APR mmoja alikuwa offside akawa anaivunja anarudi on side,Kona ilivyopigwa hyo mchezaji aliruka amoja na Shiboob ingawa hakucheza mpira lakin aliingilia mchezo
Aliyekuambia mpira wa kona una offside ni nani?.
Mpira wa kurusha au wa kona hauna offside
 
Elezea unachojua
Wachezaji kuvaa jezi zenye nembo ya Adidas au Nike haina maana timu imeingia ubia na hixo kampuni.

Hata wachezaji wa Yanga viatu vyao vina hizo nembo, juzi Saido alivaa kitambaa cha captain chenye nembo ya Puma lakini haina maana kuwa Simba inavalishwa na Puma.

Ni kwasababu ya hizo kampuni ku dominate karibia kila kitu kuhusu sports wear
 
Na kesho Singida wakiifunga Simba hapo tayari kombe ni kwa mlandege tena, kwa Simba nahisi wataogopa kuonyesha upendeleo wao kwa mlandege kwa sababu mchezo utakuwa unafatiliwa na wengi.
Akipita Singida, bas Kombe anabaki nalo Mlandege,
Atahujumiwa wazi wazi.
 
Aliyekuambia mpira wa kona una offside ni nani?.
Mpira wa kurusha au wa kona hauna offside
Haikuwa direct Kona kick ila ilianzishwa kwa mtu ndani kidogo ndo ikamwagwa majaro..nafikiri amechanganya kiongozi...
 
Safi umefafanua vema
 
Haikuwa direct Kona kick ila ilianzishwa kwa mtu ndani kidogo ndo ikamwagwa majaro..nafikiri amechanganya kiongozi...
Uko sahihi na yule jamaa aliyetoka offside na kuingilia mchezo ndie aliharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…