FT: Mashujaa 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium 05.05.2024

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
2,824
Reaction score
2,264
Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium

Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni michezo yao ya 25 kwa msimu huu.

Unatarajiwa kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa, kwani Mashujaa wanazihitaji sana pointi 3 ili kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuendelea kushiriki ligi kuu huku Yanga wakihitaji alama 3 za kujihakikishia ushindi wa ligi mapema.



00' Kick off.
30' 0:0 Cooling break
40' 0:1
45' HT Mashujaa 0:1Yanga
76' Mashujaa wamechachamaaa wamebadili upepo na kuanza kuishambulia Yanga.
90' FT Mashujaa 0:1 Yanga.
 
kila la kheri kwa wananchi,tushinde
 
Which relevant time to start the matchday Yanga SC VS Mashujaa FC?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ