Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Naweza nisinywe ngoja tuone kwanza...Ukiwa na uchungu, maji yanakawaida ya kukaba au kupalia, Kuwa makini mtani 😅😅
Sio leo tu, Simba ni mbovu.Muda wa penati sasa Mashujaa wakifungwa leo watakua mazombie. Simba wako chini ya kiwango leo.
After 30 to 45 minutes naomba unicheki, ili nicomfirm kama everything is okayNaweza nisinywe ngoja tuone kwanza...