Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Jamani watu mliopo huko uwanjani huu mchezo mnauonaje? Leo kuna matokeo kweli? Halafu hawa TFF ni qumamao sana. Kwanini wanawakaanga wachezaji wetu uwanjani mchana wote huu? Wapuuzi wakubwa!Leo Simba wapo tena uwanjani dhidi ya Mbeya City
Simba kwa mara ya kwanza kwenye msimu huu wanacheza mechi ya mchana tena jua kali na hili jua kali liwawakie tu
Mbeya City VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Sokoine | Juni 17, 2026 | 8:00 Mchana
View attachment 3609785
Kule hali ya hewa ni tofauti mkuu, siyo Dar kule, punguza hasiraJamani watu mliopo huko uwanjani huu mchezo mnauonaje? Leo kuna matokeo kweli? Halafu hawa TFF ni qumamao sana. Kwanini wanawakaanga wachezaji wetu uwanjani mchana wote huu? Wapuuzi wakubwa!
Wewe sio mtu credible, taarifa zako sio za kuzipa umuhimuSimba wakishinda leo,nipigwe ban ya wiki moja cc Active
Kikubwa kumkumbusha Active tuWewe sio mtu credible, taarifa zako sio za kuzipa umuhimu
Simba ndio waliomba mechi ichezwe muda huu kwa ajili ya kuwahi usafiriJamani watu mliopo huko uwanjani huu mchezo mnauonaje? Leo kuna matokeo kweli? Halafu hawa TFF ni qumamao sana. Kwanini wanawakaanga wachezaji wetu uwanjani mchana wote huu? Wapuuzi wakubwa!
naam kaka!Mkuu,
mkuu, nilikuwa nakuheshimu sana lakini uliponitusi tu tayari inaonesha wewe si mtu wa mpira na mstaarabu. Anyway asante kwa coment yako naifanyia kazi.Kwenda zako, mwanga mkubwa! Utopolo umekujaa hadi makalioni!